!["Haya....ipo chini ya ulinzi...wote mikono juu....!"](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2012/11/Vituko.jpg)
“Haya….ipo chini ya ulinzi…wote mikono juu….!”
hii ni kwa wale wazazi wote wanaopenda watoto wao
wacheze kwa amani na furaha.. Je,kwa mazingira ya kawaida unaona ni sawa au huu mchezo unawafaa hawa watoto. Tuwe makini na watoto zetu wanapokua michezoni..
No comments:
Post a Comment