Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, April 9, 2013

Jambo Squad - Mamong'oo (Official Video)

PICHA ZA LULU AKIWA KATIKA KABURI LA KANUMBA BAADA YA MWAKA MMOJA TOKA KIFO CHA MSANII HUYO.

 Jana ilikua ni siku ya kumbukumbu ya kifo ch amarehem Kanumba, ambae alikua anafikisha mwaka mmoja tangu alipofariki, mastar wa movie wengi walikuwepo katika kuhakikisha shughuli hiyo inaenda vizuri, ikiwa ni pamoja na kutembelea kaburi la Kanumba.   Lulu akilia juu ya kaburi la Kanumba    Lulu na mama yake Kanumba   Irene Uwoya   Lulu katika kaburi la Kanumba   Lulu na mama yake...read more

Wednesday, April 3, 2013

Ayaya by Spince Seseme Ft Ally Kiba

I don't care by K-Master Ft Illumination & Anitha

Sababu Kuu tatu kwanini Wanaume wanataka kuchiti!

http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/03/black-man-cheating.jpg
Jamaa anakula chabo…..
Mtaalam wa masuala ya mapenzi, Keith Brown, anasema wanaume, ambao wapo kwenye mahusiano thabiti wanataka kuchiti (kufanya ngono nje ya wapenzi wao) kutoakana na sababu kuu tatu zifuatazo:
# 1 Hakuna furaha ya kutosha maishani mwao. Mwanaume anayetaka kuchiti, huwa anafikiri kwamba yeye ni bora zaidi ya mwanamke aliyenae. Hufikiri kwamba anaweza akapata mwanamke bomba zaidi ya aliyenae. Hivyo basi, siku zote anakuwa na tama za kutafuta mwanamke huyo.
#2 Anakuwa na fikra za kuchiti wakati ushababi wake umejeruhiwa. Wanaume wengi wana amua kuchiti kutokana na hisia kwamba wanawake zao hawawaheshimu, hawawapi umuhimu mkubwa, hawawahitaji kimoyo au kimapenzi, au heshma ya mwanaume imejeruhiwa kutokana na tabia za mwanamke wake.
#3 Sababu ya tatu na ya mwisho kwanini wanaume wanataka kuchiti inafunga ukurasa wa sababu zote zilizotangulia. Ni kwamba, wanaume wanaotaka kuchiti huwa wanafikiri hawatoweza kukamatwa! Hivyo basi wanafikria na hatimaye wanatenda, lakini siku ya siku yana wakuta yaliyo mkuta Tiger Woods, Eliot Spitzer, na wengineo wengi tu…………….

Nicki Minaj Ft Lil Wayne-- High School