Mtoto huyu ni kichwa. Kasoma Darasa La Tatu akarushwa hadi Darasa la Sita, Kisha akafaulu vizuri sana kuingia Kidato cha Kwanza, Kaka zake ni Manamba wakashindwa kumlipia ada za shule. Kutokana na bidii zake binafsi / akili za kuzaliwa, na msaada wa ada za mitihani na vitabu kutoka kwa kaka zake aliweza kusoma form1-4 kwa miaka miwili tu. Alifaulu saaana na kushindwa kulipa ada za kidato cha 5-6 akaamua kujisomea nyumbani na kupata matokeo mazuri saaana na sasa kapata scholarshipu kutoka TRA ya Zimbabwe kusoma chuo kikuu. This is amazing story...Our God is of great wonders!!