UGONJWA WA MUZIKI KUCHEZA NDANI YA KICHWA
Bi Susan Root amekuwa akiugua ugonjwa wa muziki kucheza kwenye bongo lake
kwa miaka mitatu mfululizo.
Kibao ambacho Bi susan anakisikia kikicheza ni kibao 'How Much is that
Doggie in the Window' cha Mwanamuziki Patti Page kilichokuwa maarufu miaka
ya 50.
Wataalam wanasema huu ni ugonjwa ujulikanao kama Tinnitus- Ugonjwa
unaosababisha muziki au sauti uliyosikia utotoni ikijicheza akilini.
No comments:
Post a Comment