Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, September 14, 2012

KANYE WEST AONGOZA KATIKA KUWANIA BET HIP-HOP AWARDS 2012


Ingawa hajatoa album mpya tangu 2010, Rapper Kanye West anaonekana kwamba bado anahusika nab ado ni tishio kwa wasanii wengine wa aina ya muziki anaofanya.
Kuthibitisha hilo, imetangazwa kwamba kunako tuzo za BET za Hip Hop za mwaka huu,Kanye ameteuliwa kuwania vipengele 17.
Nominations ya tuzo hizo iliwekwa wazi hapo jana na huku Rapper 2 Chainz akiteuliwa kuwania tuzo hizo katika vipengele 13 na Canadian Rapper Drake akipata mwitiko katika vipengele 11.
Utoaji wa tuzo hizo utarekodiwa tarehe 29 mwaka huu pale Boisfeuillet Jones Atlanta Civic Center jijini Atlanta,Georgia na mchekeshaji Mike Epps ndiye anatarajiwa kuwa host wa show hiyo ambayo pia itatumika kumuenzi Hip Hop mogul Chris Lighty ambaye alijiua mapema mwezi uliopita

Read more: BongoCelebrity

No comments: