MOSHI CLASSIC
Tuesday, July 22, 2014
Tuesday, April 9, 2013
PICHA ZA LULU AKIWA KATIKA KABURI LA KANUMBA BAADA YA MWAKA MMOJA TOKA KIFO CHA MSANII HUYO.
Jana ilikua ni siku ya kumbukumbu ya kifo ch amarehem Kanumba, ambae
alikua anafikisha mwaka mmoja tangu alipofariki, mastar wa movie wengi
walikuwepo katika kuhakikisha shughuli hiyo inaenda vizuri, ikiwa ni
pamoja na kutembelea kaburi la Kanumba.
Lulu akilia juu ya kaburi la Kanumba
Lulu na mama yake Kanumba
Irene Uwoya
Lulu katika kaburi la Kanumba
Lulu na mama yake...read more
Wednesday, April 3, 2013
Sababu Kuu tatu kwanini Wanaume wanataka kuchiti!
![http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/03/black-man-cheating.jpg](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/03/black-man-cheating.jpg)
Jamaa anakula chabo…..
# 1 Hakuna furaha ya kutosha maishani mwao. Mwanaume anayetaka kuchiti, huwa anafikiri kwamba yeye ni bora zaidi ya mwanamke aliyenae. Hufikiri kwamba anaweza akapata mwanamke bomba zaidi ya aliyenae. Hivyo basi, siku zote anakuwa na tama za kutafuta mwanamke huyo.
#2 Anakuwa na fikra za kuchiti wakati ushababi wake umejeruhiwa. Wanaume wengi wana amua kuchiti kutokana na hisia kwamba wanawake zao hawawaheshimu, hawawapi umuhimu mkubwa, hawawahitaji kimoyo au kimapenzi, au heshma ya mwanaume imejeruhiwa kutokana na tabia za mwanamke wake.
#3 Sababu ya tatu na ya mwisho kwanini wanaume wanataka kuchiti inafunga ukurasa wa sababu zote zilizotangulia. Ni kwamba, wanaume wanaotaka kuchiti huwa wanafikiri hawatoweza kukamatwa! Hivyo basi wanafikria na hatimaye wanatenda, lakini siku ya siku yana wakuta yaliyo mkuta Tiger Woods, Eliot Spitzer, na wengineo wengi tu…………….
Subscribe to:
Posts (Atom)